BREAKING

Sunday, 27 December 2020

Mtambo wa D150

 


*D150* Huu ni mtambo wa solar.unakuja ukiwa na panel 1, betri 1, taa 3, torch 1, redio ndogo 1, na chaja ya simu. Kwa mkopo unauzwa tsh 413250 unatoa ela ya kianzio tsh 46000. Unapata ofa ya siku 18 BURE .Kisha unaanza kulipia Tsh *1050* kwa siku .kwa MDA wa siku 355. Ila mtambo huu Bei ya *cash ni 340000.* Warranty miaka 2.